TBS yateketeza bidhaa feki yakiwemo maziwa ya watoto


Baadhi ya bidhaa zilizoisha muda wake zikishushwa dambo kwaajili ya kutektezwa na shirika la viwangi Tanzania (TBS) Mkoani Mtwara. Picha na Florence Sanawa

Mtwara. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imekamata vyakula vilivyoisha muda wake ikiwemo maziwa ya watoto na vipodozi vyenye viambata sumu visivyoruhusiwa nchini.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post