Top News

Wachezaji 10 bora wa soka kuwahi kutokea duniani

Michuano ya namna hii na mingine kama kombe la dunia na klabu bingwa Ulaya inajenga heshima na kutengeneza wachezaji bora duniani. Ingawa mpaka leo bado kuna ubishi mkubwa wa kupanga wachezaji bora wa muda wote kuwahi kutokea duniani, lakini kwa vigezo vya mchango kwa timu, kipaji cha kipekee, kucheza mpira muda mrefu na kuweka rekodi mbalimbali, BBC inakuletea orodha ya wachezaji 10 bora wa soka kuwahi kutokea duniani.

Kashinda makombe manne ya dunia akiwa na Brazil pamoja na mataji saba ya ligi kuu akiwa na klabu yake ya Santos huku akiifungia klau hiyo mabao zaidi ya 600. Pele pia ameifungia timu yake ya taifa ya Brazil mabao 77 katika michezo 92 tu aliyoichezea, akiwa na rekodi ya kuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kufunga katika fainali za kombe la dunia, akifunga mabao mawili dhidi ya Sweden katika michuano ya mwaka 1958.

Ameweka alama akiwa na vilabu vya Argentinos Juniours, Boca Juniours, Barcelona, Napoli, Sevilla, Newell's Old Boys na timu ya taifa ya Argentina akifunga mabao zaidi ya 300 katika maisha yake ya soka.




Post a Comment

Previous Post Next Post