DARAJA LA BILLION 2 LAVUNJIKA NDANI YA WIKI 1 TOKA LIZINDULIWE

0


 
Kutoka nchini Kenya daraja la Kajiado County ambalo ujenzi wake umegharimu takribani Milioni 100 za Kenya sawa na zaidi ya Shilingi Bilioni 2 za Tanzania limevunjika ikiwa ni wiki moja tu tangu kufunguliwa kwake.
Kwa mujibu wa wananchi wa eneo hilo ni kuwa daraja hilo lililozinduliwa na Gavana wa kaunti hiyo, Mr.Joseph Ole Lenku Alhamisi ya February 17, limevunjika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Kenya.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable