Moja ya waigizaji waliojizolea umaarufu mkubwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 basi ni Osita Iheme hasa kupitia filamu ya Aki na Ukwa.
Sasa Juzi Februari 20 ya mwezi huu mwigizaji huyo alitimiza umri wa miaka 40 huku mwenzake Chinedu akiwa na miaka 44.
Unakumbuka kitu gani kipindi filamu zao zinatamba sana?
Kwa habari kemkem za kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha tembelea Msasa Online kila wakati hakika hutopitwa na chochote saa 24.
