RAIA ZAIDI YA 10000 WAPEWA SILAHA

0

 

 


 

Fahamu kuwa Wakati vikosi vya Urusi vikisonga mbele katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv mamlaka zinatoa wito kwa watu kufanya kila wawezalo kupinga uvamizi wa Urusi ikiwemo kuchukua silaha kwa ajili ya kujilinda.
 
Mshauri wa Wizara ya mambo ya ndani, Vadym Denysenko anasema bunduki 18,000 "zimetolewa Kyiv kwa watu wote wa kujitolea, wale wote wanaotaka kulinda mji mkuu wetu kwa silaha mikononi mwao".
"Vifaa vya kijeshi vya Ukraine vikiwemo vifaru vinaingia Kyiv sasa ili kuilinda. Ninawataka wakazi wote wa Kyiv - tafadhali usiipige picha, usiipige picha harakati zoozote. Hii ni muhimu ili kulinda mji wetu."
Endelea kuwa karibu na Msasa Online kupata updates zote zinaoendelea katika uvamizi huu wa Urusi nchini Ukraine.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable