RAIS WA UKRAINE ATAKA MAZUNGUMZO NA URUSI

 

 

 


 

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa wito wa mazungumzo kati yake na Rais wa Urusi, Vladimir Putin ili kunusuru Raia wasio na hatia.
 
Aidha Viongozi wa China wamesema Urusi ipo tayari kwa mazungumzo. Walitoa kauli hiyo baada ya Rais Putin kuzungumza kwa njia ya simu na Rais Xi Jinping
 
Rais Putin ameonesha utayari wa kutuma wawakilishi kwa ajili ya mazungumzo hayo.

Post a Comment

Previous Post Next Post