TALIBAN WAOMBA URUSI NA UKRAINE WAYAMALIZE KWA AMANI....

0

 


 

Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imeyataka mataifa ya Urusi na Ukraine kukaa chini kufanya mazungumzo ili kurejesha amani na kufuta vita inayoendelea hivi sasa ambapo Urusi anashambulia maeneo ya miji kadhaa huko Ukraine.
 
Aidha ndani ya taarifa hiyo ya Taliban imeomba ulinzi kwa wanafunzi na wahamiaji ambao ni raia Afghanistan waliopo nchini Ukraine.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable