Mtangazaji kutoka kipindi cha #Empire @bdozen wakati wa uzinduzi wa video ya #Lala ya kwake @mimi_mvrs akimshirikisha @marioo_tz amesema kuwa anavyowaona wawili hao ni wanaendana sana hivyo kama ni kweli ni wapenzi basi wasijifiche fiche kwani wanaonekana vizuri wakiwa pamoja
B Dozen amesema
"Marioo na Mimi Mars ni couple flani inaitikia au we unaionaje yani japo kuwa wenyewe wanasema ni marafiki but kama wako serious na hii kitu ya mahusiano basi hebu kwanza wafanye kweli maana kwanza wanapendeza.Yaani itakuwa ni moja kati ya couple bora sana, naonana nao wananiambia ni marafiki wanaopendana na mimi siwezi wasemea ila ni wanaendana"
Na mwandishi wetu
@luckynaturebway
