Trending BI HARUSI MTARAJIWA APEWA ZAWADI YA PESA TSH MILIONI 100 KWENYE SHEREHE YA SEND OFF.....

0

 



Anaitwa Neema na kweli Neema imemshukia huyu ni Bi harusi mtarajiwa huko jijini Mwanza ambaye sherehe yake imezua gumzo baada ya kamati ya maandalizi ya shughuli kumkabidhi zawadi ya hundi yenye Thamani ya pesa Tsh Milioni 100.
Mshehereshaji wa shughuli hiyo MC Garab amefunguka haya kupitia ukurasa wake wa Instagram
"Hello from Mwanza.. Nimeonelea niendelee kuwepo apa kwa mda baada ya kumaliza uMC niwe CHAWA wa Boss wangu #NeyEzekiel. YES! Ni Tsh. 100,000,000/= kama zawadi ya kamati. Upo Nyonyo Shikamoo Mwanza"
Ulipata au unatarajia kupata zawadi gani kwenye shughuli ya

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable