KAJALA MASANJA ♥️
TOKA WAACHANE NA HARMONIZE
ANAZIDI KUPENDEZA NA KUWA MZURI 👌
Unaambiwa Uyu NDIYE Mwanamke Mwenye BAHATI kuliko Wanawake Wote kutokea hapa nchini Tanzania🇹🇿
Na ndiyo mwanamke wa kwanza Toka nchi ipate uhuru kuongwa gari mbili za kifahari za Aina ya range lover😳 Alafu utakuta mwanamke mwenzake bila aibu Anamsema Kajala wakati yeye Amedanga miaka yote lakini akuwai kuongwa na mwanaume ata Dela jamani sisi wanawake chefuuuuuuuuuuuuuuu ujueeeeeeeeee🤣
KUWA MKWELI WEWE JE ULISHAWAI KUONGWA KITU GANI CHA MAANA NA CHA GALAMA ZAIDI KUMZIDI KAJALA👇
TUKUTANE KWENYE COMMENT 👌
NENO MOJA KWAKE KAMA UNA WIVU👌
KAJALA Paula Kajala
Aliye post
ni admin wangu 👉 Djparty On Mix
