#JFAFYA: Goita (Goiter) ni uvimbe unaotokea kwenye tezi ya #Thyroid ukisababishwa na upungufu wa Madini Joto (Iodine),

 





#JFAFYA: Goita (Goiter) ni uvimbe unaotokea kwenye tezi ya #Thyroid ukisababishwa na upungufu wa Madini Joto (Iodine), Saratani, au Ujauzito
Kabichi na mboga nyingine za jamii hiyo kama Brokoli, Kale na Cauliflower hupunguza uwezo wa Tezi ya Thyroid kwenye kutumia vizuri Madini Joto, hivyo kuongeza uwezekano wa kukua kwa tatizo
Hivyo, Mgonjwa anashauriwa kutumia kiasi kidogo walau saa 3 kabla au baada ya kumeza Dawa za kutibu Ugonjwa huu

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post