Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imetangaza kuanza ukaguzi wa Vifaa vya Kielektroniki ikiwemo Simu kuanzia Mei 23, 2023 kwenye maeneo ya Uagizaji ili kudhibiti uingizaji wa Vifaa vilivyokwisha muda wa matumizi
Kwa mujibu wa kifungu 83(4) cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, Vifaa vyote vilivyopita muda wa matumizi hutakiwa kupelekwa kwa watoa Huduma wenye leseni za kukusanya, kukarabati au kuendesha Mitambo ya kuvichakata
Tags
jamii forum